[go: up one dir, main page]

Studio ya YouTube

4.3
Maoni 1.98M
100M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Vijana
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Programu rasmi ya Studio ya YouTube ndiyo njia bora zaidi ya kukusaidia kuwafahamu na kuwasiliana na watu katika jumuiya yako kwa kutumia kifaa ulichozoea. Tumia programu hii:

- Kupata muhtasari wa haraka kuhusu utendaji wa maudhui na kituo chako kwenye Dashibodi mpya ya Kituo.
- Kufahamu utendaji wa kituo chako na aina nyingine za maudhui kupitia Takwimu za kina. Unaweza pia kuona data ya utendaji wa aina mbalimbali za maudhui katika kichupo cha Takwimu.
- Kukuza uhusiano wa kina na hadhira yako kupitia uwezo wa kupanga na kuchuja maoni ili kupata mazungumzo muhimu zaidi katika jumuiya yako.
- Kufanya mabadiliko kwenye mwonekano na muundo wa kituo chako na kudhibiti aina mahususi za maudhui kwa kusasisha maelezo ya video fupi, mitiririko mubashara na video mahususi.
- Kuanzisha biashara kwenye YouTube kwa kutuma ombi la kujiunga kwenye Mpango wa Washirika wa YouTube ili uweze kuchuma mapato.
Ilisasishwa tarehe
2 Mei 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine6
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni 1.89M
Emmanueli yn Byarugaba
24 Machi 2024
Welcome to Tanzania
Mtu mmoja alinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
RAMADHANI RWAMBO
1 Julai 2023
Ni vizuri sana
Watu 26 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
EMMANUEL NDASSA
27 Mei 2023
Ipo vizuli sana✌
Watu 29 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Mapya

• Dashibodi mpya iliyosanifiwa ambayo hukuruhusu uone data muhimu zaidi ya utendaji.
• Ukaguzi wa kiotomatiki utachunguza video yako ili kubaini matatizo yoyote ya uchumaji wa mapato au ukiukaji wa hakimiliki kabla upakie maudhui.
• Tuma ombi la kujiunga na Mpango wa Washirika wa YouTube ili ukuze biashara yako.